MKURUGENZI wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA), Moses Malaki, amesema watuhumiwa wa njama za kupitisha kilo 150 za dawa za kulevya aina…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wafuasi wa Ponda Wapiga Kambi Segerea
WAFUASI wa Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda wamepiga kambi katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam wakitaka kumwona bila…
Continue Reading....Mpango wa Ukusanyaji Damu Wavuka Malengo
MPANGO wa Taifa wa Damu Salama umevuka lengo la makusanyo ya damu katika kipindi cha mwezi Aprili hadi Juni mwaka huu kwa kukusanya chupa za…
Continue Reading....Hoja Nne za Wabunge kwa Serikali Kudhibiti Mapato na Makusanyo
YAFUATAYO ni maazimio ya Mafunzo ya kamati za Bunge zinazosimamia fedha za umma na bajeti (PAC, LAAC NA BC) 1.) Kutokana na kutokuwepo na taarifa…
Continue Reading....Chadema na Uhamasishaji Wananchi Ushiriki Rasimu ya Katiba Mpya Mwanza
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe pamoja…
Continue Reading....Jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 Lazinduliwa Rasmi Kigoma Leo
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku huu kwenu uwanja wa Lake Tanganyika. Sehemu ya…
Continue Reading....