Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 607

Category: Habari za Nyumbani

Kenya Kufuata Mfumo wa Tanzania Udhibiti Madini

Posted on: August 24, 2013 - jomushi
Kenya Kufuata Mfumo wa Tanzania Udhibiti Madini

KENYA imesema kuwa itafuata sera na mfumo wa udhibiti wa madini kama unaotumiwa na Tanzania kwa sababu mageuzi yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania katika sekta…

Continue Reading....

Tusker Lite Yadhamini Usiku wa Maofisa Masoko Dar es Salaam ‘Marketer’s Night’

Posted on: August 24, 2013August 26, 2013 - jomushi
Tusker Lite Yadhamini  Usiku wa Maofisa Masoko Dar es Salaam ‘Marketer’s Night’

Mada mbalimbali zilitolewa na wataalamu wa masuala ya masoko kuwaongezea ujuzi wadau wa masuala ya masoko kutoka makampuni na taasisi anuai. Juu ni baadhi ya…

Continue Reading....

Ongezeko la Kodi Kuathiri Ukuaji wa Sekta ya Usafirishaji

Posted on: August 23, 2013August 23, 2013 - jomushi
Ongezeko la Kodi Kuathiri Ukuaji wa Sekta ya Usafirishaji

SEKTA ya Usafirishaji nchini inakabiliwa na changamoto kubwa na ipo katika tishio la kuanguka kutokana na kuongezwa kwa kodi mbali mbali zitokanazo na bajeti ya…

Continue Reading....

Kamati Kuu ya CCM Taifa Kukutana Leo

Posted on: August 23, 2013 - jomushi
Kamati Kuu ya CCM Taifa Kukutana Leo

KAMATI Kuu ya CCM Taifa itakutana Agosti 23, 2013 ikifuatiwa na Halmashauri Kuu keshokutwa asubuhi ambapo itakuwa kwa siku mbili. Ajenda Kuu ya Kamati Kuu itakuwa kujadili…

Continue Reading....

Rwanda, Uganda Zajitoa Bandari ya Dar

Posted on: August 22, 2013 - jomushi
Rwanda, Uganda Zajitoa Bandari ya Dar

CHAMA cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu. Katibu Mtendaji…

Continue Reading....

Rais Kikwete Apangua Makatibu Wakuu na Manaibu

Posted on: August 22, 2013August 22, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Apangua Makatibu Wakuu na Manaibu

Na Magreth Kinabo, Maelezo – Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya uongozi kwenye ngazi za juu za utendaji wa Serikali kwa nafasi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari