Ngongoti na ngoma…! Pichani ni moja ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Tanzania vikitoa burudani.
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Matukio Siku ya Tatu Tamasha la Jinsia Tanzania
Mgeni rasmi na Mwanaharakati kutoka nchini Uganda, Bi. Miriam Mutembe akisalimia waalikwa wengine wa tamasha la jinsia. Baadhi ya…
Continue Reading....Tamasha la 11 la Mtandao wa Kijinsia: Rasimu yapewa Kipaumbele
Na Deogratius Temba MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba nchini, Deus Kibamba, amewataka wanawake nchini kutokubali kuipigia kura rasimu ya katiba mpya iwapo maoni mbalimbali yaliyotolewa na wanawake hasa…
Continue Reading....Kinana Kuwasha Moto Kanda ya Ziwa
NA MWANDISHI WETU KATIBU MKUU wa Chama Cha Mapinduzi, Abdulrahaman Kinana, wiki ijayo ataanza ziara ya kikazi katika mikoa ya Shinyanga, Mara na Simiyu. Akizungumza…
Continue Reading....Jerry Silaaa Akabidhi Magodoro 50 Muhimbili
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa kikundi cha Neema Womans Power Bi.Maryam Dedes kuelekea kwenye chumba cha…
Continue Reading....Mnigeria Adakwa na Dawa za Kulevya Dar es Salaam
MWANAMKE ambaye ni raia wa Nigeria, amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na kete 99 za dawa za kulevya.…
Continue Reading....