RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewataka wabia wa maendeleo wa nchi masikini kutimiza ahadi zao kama njia ya uhakika kuhakikisha…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Pori Tengefu Haligawanywi -Pinda
SERIKALI imetengua tamko lilitolewa Machi 19, mwaka huu na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki la kupunguza ukubwa wa pori tengefu la Loliondo…
Continue Reading....Mama Salma Akiomba Chuo cha Monmouth Kufundisha Kishwahili
Na Anna Nkinda – New York Mama Salma Kikwete amekiomba chuo kikuu cha Monmouth cha mjini New Jersey nchini Marekani kufundisha wanafunzi wake lugha ya…
Continue Reading....Rais Kenyatta Alihutubia Taifa Kuhusu Uvamizi, Atangaza Siku Tatu za Maombolezo
RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amelihutubia Taifa Usiku huu huku akitangaza siku tatu za maombolezo kuanzia Kesho na bendera kupepea nusu mlingoti, nchi nzima. Rais…
Continue Reading....Hakuna Uporaji wa Ardhi ya Wakulima Unaofanywa na Serikali – Kikwete
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hakuna uporaji wowote wa ardhi unaofanywa na Serikali yake dhidi ya ardhi…
Continue Reading....Profesa Mwandosya Aitabiria Mema Tanzania
Na Magreth Kinabo – Maelezo WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu), Profesa Mark Mwandosya amesemwa Tanzania itafikia maendeleo ya hali ya juu ifikapo…
Continue Reading....