Na Isaac Mwangi, EANA, Arusha NCHI wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hazina budi kutunga sheria inatakayowawezesha raia kuiwajibisha Serikali yoyote itakayokuwa “sumbufu”…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
VIDEO: WATOTO WAOANA HUKO DODOMA!
Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau. Unaweza usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE…
Continue Reading....Zitto Kabwe Kupinga Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 Bungeni
*Ni ile inayovikandamizwa Vyombo vya Habari Kila Uchao MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Kupitia CHADEMA, Zitto Kabwe anatarajia kuwasilisha bungeni muswada binafsi kupinga sheria ya magazeti…
Continue Reading....Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Akitokea Marekani na Canada
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba…
Continue Reading....Daktari wa Rais Kikwete Ateuliwa Kuwapima Marubani Afya
PROFESA Mohammed Y. Janabi, Daktari wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanikiwa kuingia katika kundi dogo la madaktari wa…
Continue Reading....Watoto Nchi Zinazoendelea Wanakabiliwa na Ujinga, Maradhi na Umaskini – Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lincoln WATOTO wengi nchi zinazoendelea wanakabiliwa na tatizo la ujinga, maradhi na umaskini hivyo basi kupatikana kwa elimu bora kutawasaidia…
Continue Reading....