Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 577

Category: Habari za Nyumbani

Dk Magufuli Aibuka Upya, Awashukia Waliokopa Nyumba…!

Posted on: October 18, 2013 - jomushi
Dk Magufuli Aibuka Upya, Awashukia Waliokopa Nyumba…!

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametoa mwezi mmoja kwa watumishi wa Serikali ambao wanadaiwa mikopo ya nyumba kulipa madeni yao mara moja na kuonya…

Continue Reading....

DoubleTree Hoteli Yaendeleza Kampeni ya nishati ya Mwanga wa Jua yagawa taa 200 Mtwara

Posted on: October 18, 2013October 18, 2013 - jomushi
DoubleTree Hoteli Yaendeleza Kampeni ya nishati ya Mwanga wa Jua yagawa taa 200 Mtwara

Mkurugenzi wa Kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton ya Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann (kulia) akikabidhi moja ya taa ya Umeme Jua kwa…

Continue Reading....

Tanzania yasaini mikataba mitano na China

Posted on: October 17, 2013 - admin
Tanzania yasaini mikataba mitano na China

SERIKALI ya Tanzania imeasaini mikataba ya makubaliano (MoUs) mitano ambayo itasadia kutoa fursa za biashara, mafunzo na masuala ya sayansi na teknolojia kwa Watanzania. Mikataba…

Continue Reading....

Dk Bilal Aitaka TBA Kuangalia Fursa na Kujenga Nyumba za Watumishi wa Umma

Posted on: October 17, 2013 - jomushi
Dk Bilal Aitaka TBA Kuangalia Fursa na Kujenga Nyumba za Watumishi wa Umma

Na Eliphace Marwa – MAELEZO MAKAMU wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuangalia jinsi ya kutumia fursa amabayo Serikali imeruhusu…

Continue Reading....

Siri Nzito Mauaji ya Mama Ufoo Saro; Ndugu wa ‘Mchumba’ Wake Wataka Jeshi la Polisi Kufanya Uchunguzi Kibusara

Posted on: October 17, 2013October 17, 2013 - jomushi
Siri Nzito Mauaji ya Mama Ufoo Saro; Ndugu wa ‘Mchumba’ Wake Wataka Jeshi la Polisi Kufanya Uchunguzi Kibusara

Baadhi ya ndugu wa marehemu Anthery Mushi wakilia kwa uchungu walipokuwa wakitoa salamu za mwisho Muhimbili leo. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu…

Continue Reading....

Maadhimisho ya 68 ya Siku ya Umoja wa Mataifa Yaanza Leo Dar

Posted on: October 17, 2013 - jomushi
Maadhimisho ya 68 ya Siku ya Umoja wa Mataifa Yaanza Leo Dar

  Naibu Katibu Mkuu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani),…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari