Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Mfuko wa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wizara ya Afya Yatoa Ndondoo Kukabiliana na Kisukari
Na Aron Msigwa – Maelezo WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi mara kwa mara, kupima afya na kuepuka tabia hatarishi zinazochangia uwezekano wa kupata…
Continue Reading....‘Tusiidharau Elimu ya Watu Wazima…!’
Yohane Gervas, Rombo WANANCHI wilayani Rombo wameshauriwa kuondokana na dhana potofu ya kupuuzia na kuidharau elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi…
Continue Reading....Kontena Lenye Meno ya Tembo Lakamatwa Zanzibar
JUHUDI za kupambana na wasafirishaji nyara za Serikali na wahujumu uchumi nchini Tanzania zimezidi kuzaa matunda, baada ya shehena nyingine ya meno ya Tembo kukamatwa…
Continue Reading....Madaktari Afrika Kusini Wataja Kilichomuua Dk Mvungi
HOSPITALI ya Millpark ya Johannesburg, Afrika Kusini, imesema madaktari waliokuwa wakimtibu aliyekuwa Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi walibaini kuharibika kwa…
Continue Reading....JK Aenda Sri-Lanka Kwenye Mkutano wa CHOGM
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka jioni ya leo tarehe 13 Novemba, 2013 kuelekea Colombo , Sri-Lanka kuhudhuria kikao cha siku tatu (3) cha Wakuu wa…
Continue Reading....