Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 54

Category: Habari za Nyumbani

Rais Magufuli Kuzinduwa Rasmi Mabasi ya Mwendo Kasi Dar

Posted on: January 24, 2017 - jomushi
Post Tags: usafiri
Rais Magufuli Kuzinduwa Rasmi Mabasi ya Mwendo Kasi Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli, kesho tarehe 25 /01/2017 anatarajiwa kuzindua Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na…

Continue Reading....

Afikishwa Mahakamani kwa Kumjeruhi na Chupa Mkewe

Posted on: January 24, 2017 - jomushi
Post Tags: Mahakamani
Afikishwa Mahakamani kwa Kumjeruhi na Chupa Mkewe

  Na Woinde  Shizza, ArushaMFANYABIASHARA maarufu wa madini  jijini Arusha, Venance  Moshi (30) amefikishwa mahakamani na kusomewa maelezo ya awali katika kesi  inayomkabili ya kushambulia na kumjeruhi  mkewe…

Continue Reading....

TTCL YAZINDUWA HUDUMA YA 4G LTE MKOANI MWANZA

Posted on: January 23, 2017 - jomushi
TTCL YAZINDUWA HUDUMA YA 4G LTE MKOANI MWANZA

                KAMPUNI ya Simu Tanzania TTCL, imezindua Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza siku ya…

Continue Reading....

Kamati ya Taifa Matumizi ya Bioteknolojia Salama Yaridhika na Utafiti wa Mahindi…!

Posted on: January 23, 2017 - jomushi
Kamati ya Taifa Matumizi ya Bioteknolojia Salama Yaridhika na Utafiti wa Mahindi…!

 Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Hussein Mansour akizungumza katika mkutano huo wakati akiwakaribisha wajumbe wa NBC katika kituo…

Continue Reading....

AU Kujadili Madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika

Posted on: January 21, 2017 - jomushi
AU Kujadili Madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika

      Meneja wa Haki za Wanawake kutoka Actionaid Tanzania, Scholastica Haule akionesha nakala yenye madai hayo kwa vyombo vya habari walipokutana kumpongeza Mjumbe…

Continue Reading....

Watakiwa Kujitokeza Kuchagua Madiwani, Mbunge

Posted on: January 21, 2017 - jomushi
Post Tags: Habari za Uchaguzi
Watakiwa Kujitokeza Kuchagua Madiwani, Mbunge

Na Aron Msigwa –NEC, Zanzibar TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wananchi wanaoishi katika kata 19 zitakazofanya Uchaguzi mdogo wa Madiwani kwa upande Tanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari