Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 538

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete ‘Awafukuza’ Kazi Mawaziri Wanne

Posted on: December 20, 2013 - jomushi
Rais Kikwete ‘Awafukuza’ Kazi Mawaziri Wanne

Na Mwandishi Wetu, Dodoma RAIS wa Tanzania amesitisha uteuzi wa mawaziri wake wanne, ambao ni pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,…

Continue Reading....

Breaking Newzzz: Waziri Balozi Kagasheki Ajiuzulu

Posted on: December 20, 2013 - jomushi
Breaking Newzzz: Waziri Balozi Kagasheki Ajiuzulu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamisi Kagasheki amejiuzulu muda huu bungeni mjini Dodoma. Balozi Kagasheki ametangaza kujiuzulu baada ya Kamati ya Bunge ya Ardhi,…

Continue Reading....

‘Mabadiliko ya Tabianchi na Umuhimu wa Kupunguza Hewa Ukaa Duniani…!’

Posted on: December 20, 2013 - jomushi
‘Mabadiliko ya Tabianchi na Umuhimu wa Kupunguza Hewa Ukaa Duniani…!’

.. Mwenyekiti wa Asasi ya vijana ya Umoja wa Mataifa (YUNA), Dr. Lwidiko Edward, akizungumza na vijana kutoka Asasi mbalimbali hapa nchini juu ya ushiriki…

Continue Reading....

JK Aomba Mapendekezo Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba Mpya

Posted on: December 20, 2013December 20, 2013 - jomushi
JK Aomba Mapendekezo Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameyaalika na kuyakaribisha makundi mbalimbali katika jamii kupendekeza majina ya watu ambao…

Continue Reading....

Rais Kikwete Amtumia Rambirambi Kinana Kifo cha Mteming’ombe

Posted on: December 20, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Amtumia Rambirambi Kinana Kifo cha Mteming’ombe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana kuomboleza…

Continue Reading....

Polisi Wapeleka Kikosi Maalum Kuwasaka Waliovamia Kituo Malinyi

Posted on: December 20, 2013 - jomushi
Polisi Wapeleka Kikosi Maalum Kuwasaka Waliovamia Kituo Malinyi

Na Mwandishi Wetu JESHI la Polisi Tanzania, limepeleka timu maalumu ya askari kutoka makao makuu kwenda wilayani Ulanga, Mkoa wa Morogoro katika Operesheni ya kuwasaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari