Na Mwandishi Wetu, Moshi CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mwishoni mwa wiki walifanya uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Ajali Zauwa 22, Singida na Lindi, Rais Atuma Rambirambi
WATU 22 wamefariki dunia wakiwemo watoto 3 na zaidi ya 30 kujeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika mikoa ya Singida na Lindi.…
Continue Reading....JK Awaapisha Mawaziri Wapya Aliowateuwa Juzi
RAIS wa Tanzania leo amewaapisha mawaziri na ma-naibu waziri aliowateuwa jana katika mabadiliko mapya ya panguapangua kwenye baraza hilo ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na…
Continue Reading....Pinda Ataka Kila Halmashauri Iunde Vikundi vya Ujenzi vya Vijana
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezitaka Halmashauri zote 160 za Miji na Wilaya zilizoko nchini kuhakikisha zinaunda vikundi vya vijana vya ujenzi wa nyumba nafuu (building…
Continue Reading....Rais Kikwete Apangua Baraza la Mawaziri…!
*Migiro, Jenista, Nkamia, Nyalandu na Saada waula RAIS wa Tanzania Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kwa kuteuwa mawaziri wapya pamoja na manaibua…
Continue Reading....Pinda Aridhishwa na Ukarabati Jengo la Bunge la Katiba
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema ameridhishwa na kazi ya ukarabati inayoendelea kwenye maeneo mbalimbali ya jengo la Bunge ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge…
Continue Reading....