Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 52

Category: Habari za Nyumbani

Marufuku Miradi Chini ya Viwango -RC Nchimbi

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Marufuku Miradi Chini ya Viwango -RC Nchimbi

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Mkalama na kuagiza watendaji kusimamia miradi kwa umakini kwakuwa hataki kusikia…

Continue Reading....

Serikali Kutumbua Wahujumu wa TAZARA

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Serikali Kutumbua Wahujumu wa TAZARA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali haitamvumilia mtumishi yoyote ambaye ataendelea kuisababishia hasara Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia…

Continue Reading....

Wakulima Zaidi ya 60,000 Kunufaika na Mradi wa AMDT

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Wakulima  Zaidi ya 60,000 Kunufaika na Mradi wa AMDT

Na.Vero Ignatus -Arusha. Taasisi ya kuendeleza mifumo ya kimasoko katika kilimo Tanzania (AMDT)imewataka wakulima kubadilisha kilimo kuwa biashara ,waondokane na kilimo cha kawaida na kuwa…

Continue Reading....

RC Ataka Malighafi za Kilimo Kuuzwa kwa Gharama Ndogo!.

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
RC Ataka Malighafi za Kilimo Kuuzwa kwa Gharama Ndogo!.

Imeelezwa kuwa teknolojia duni,rasilimali fedha,malighafi kuwa juu, uhaba wa mvua unaotokana na uharibifu wa mazingira ndio changamoto kubwa inayomkabili mkulima wa Tanzania kutofikia malengo ya…

Continue Reading....

Dk Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Siku ya Sheria Nchini

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Dk Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Siku ya Sheria Nchini

Benjamin Sawe -Maelezo. Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Sheria nchini zitakazofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao…

Continue Reading....

Jaji Lubuva Akabidhi Taarifa ya Utendaji miaka 5 kwa Mwenyekiti Mpya

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Jaji Lubuva Akabidhi Taarifa ya Utendaji miaka 5 kwa Mwenyekiti Mpya

 Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Sekretarieti ya Tume…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari