Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 47

Category: Habari za Nyumbani

Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
Post Tags: Dawa za Kulevya
Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya.…

Continue Reading....

CSSC Kuadhimisha Miaka 25 ya Huduma kwa Mafanikio Makubwa

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
CSSC Kuadhimisha Miaka 25 ya Huduma kwa Mafanikio Makubwa

CSSC yajivunia hospitali 102 na taasisi 1006 nchi nzima TUME ya Kikristo ya Huduma za jamii (CSSC), inatarajia kuadhimisha miaka ishirini na mitano (25), tangu kuanzishwa…

Continue Reading....

Habari Hazichangii Kutokomeza Umasikini kwa Wanaoishi Vijijini…!

Posted on: February 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Vyombo vya Habari
Habari Hazichangii Kutokomeza Umasikini kwa Wanaoishi Vijijini…!

Taarifa ya utafiti huo ikiendelea kutolewa. Mwanahabari Hilda wa gazeti la Daily News akiwa mzigoni. Maofisa wa LHRC wakifuatilia mkutano huo.     Na Dotto…

Continue Reading....

Wizara ya Fedha Yatekeleza Agizo la Magufuli, Yamlipa Mkandarasi Terminal 3

Posted on: February 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Miundombinu
Wizara ya Fedha  Yatekeleza Agizo la Magufuli, Yamlipa Mkandarasi Terminal 3

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akizungumza na Wanahabari kuhusu Wizara yake ilivyotekeleza Agizo la Rais Dkt. John Magufu kuhusu…

Continue Reading....

TCRA Yapiga Marufuku TV za Mitandaoni…!

Posted on: February 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Mitandao ya Kijamii
TCRA Yapiga Marufuku TV za Mitandaoni…!

Na Sultani Kipingo MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezuia mtu yeyote kuendesha huduma za TV Mtandao nchini hadi hapo itakapoweka utaratibu wa kusajili huduma hizo. Kwa…

Continue Reading....

Prof Mbarawa Apangua Ujenzi Terminal III, Mtumbua Meneja TAA

Posted on: February 10, 2017February 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Uwanja wa Ndege
Prof Mbarawa Apangua Ujenzi Terminal III, Mtumbua Meneja TAA

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameteua timu mpya ya wataalamu saba kwa ajili ya kusimamia mradi wa ujenzi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari