Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 44

Category: Habari za Nyumbani

Wataalamu Kupelekwa Viwanja vya Ndege vya Kusini Kujiridhisha

Posted on: February 25, 2017 - jomushi
Post Tags: Viwanja
Wataalamu Kupelekwa Viwanja vya Ndege vya Kusini Kujiridhisha

  SERIKALI imesema itatuma wataalam wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA), kuangalia Maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Viwanja vya ndege katika…

Continue Reading....

Jumia Travel Wazinduwa Huduma za Ndege kwa Ajili ya Wasafiri

Posted on: February 25, 2017 - jomushi
Post Tags: Jumia
Jumia Travel Wazinduwa Huduma za Ndege kwa Ajili ya Wasafiri

   Ofisa Habari wa Kampuni ya Jumia Travel, Geofrey Kijangwa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kampuni hiyo…

Continue Reading....

Friedkin Conservation Fund Yachangia Saruji Mifuko 3000 na Mabati 1000

Posted on: February 24, 2017 - jomushi
Post Tags: Msaada Saruji
Friedkin Conservation Fund Yachangia Saruji Mifuko 3000 na Mabati 1000

    Na Mwandishi Wetu, Simiyu KAMPUNI kitalii zilizo chini ya Friedkin Conservation Fund (FCF) Tanzania iliyowekeza katika pori la Makao wilayani Meatu na Maswa…

Continue Reading....

Baadhi ya Maaskofu Wampaka Mafuta na Kumwombea Rais Magufuli

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Post Tags: Viongozi wa Dini
Baadhi ya Maaskofu Wampaka Mafuta na Kumwombea Rais Magufuli

Askofu wa Good News  for All Ministry,  Dkt. Charles Gadi  akizungumza na waandishi wa habari wakati madhehebu mbalimbali hapa nchini walipomuombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, nchi, pamoja na kumpongeza…

Continue Reading....

Serikali Kujenga Barabara ya Mtwara-Masasi Kiwango cha Lami

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Post Tags: barabara
Serikali Kujenga Barabara ya Mtwara-Masasi Kiwango cha Lami

    Serikali Kujenga Barabara ya Mtwara-Masasi Kiwango cha Lami SERIKALI imesema itaanza ujenzi wa barabara ya Mtwara-Masasi KM 210 sehemu ya Mtwara-Nnivata yenye urefu…

Continue Reading....

Ujenzi Daraja la Juu Ubungo Kuanza Mara Moja, Mkataba Wasainiwa

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Post Tags: Miundombinu
Ujenzi Daraja la Juu Ubungo Kuanza Mara Moja, Mkataba Wasainiwa

    WAKALA wa Barabara nchini (TANROADS), umetiliana saini na kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) mkataba wa ujenzi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari