Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 41

Category: Habari za Nyumbani

Rais Magufuli Amtakia Heri za Kuzaliwa Rais Dk Shein

Posted on: March 13, 2017 - jomushi
Post Tags: Rais Magufuli
Rais Magufuli Amtakia Heri za Kuzaliwa Rais Dk Shein

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Machi 2017, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar…

Continue Reading....

Rais Magufuli Atuma Rambirambi Kifo cha George Kahama

Posted on: March 13, 2017 - jomushi
Rais Magufuli Atuma Rambirambi Kifo cha George Kahama

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mmoja wa Waasisi wa Taifa na…

Continue Reading....

Timuatimua ya CCM Dodoma…!

Posted on: March 13, 2017 - jomushi
Post Tags: CCM
Timuatimua ya CCM Dodoma…!

TIMUATIMUA iliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wake mkuu maalum mjini Dodoma imemkumba Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba (Mb), na wenyeviti wa…

Continue Reading....

Lema: Nitawakana Madiwani wa Chadema kwa Wananchi

Posted on: March 10, 2017 - jomushi
Lema: Nitawakana Madiwani wa Chadema kwa Wananchi

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika shule katika viwanja vya Ngarenaro Jijini Arusha Leo. Wapili kutoka kushoto…

Continue Reading....

Benki ya NMB, Mastercard yawaingiza wakulima kidijitali

Posted on: March 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
Benki ya NMB, Mastercard yawaingiza wakulima kidijitali

    BENKI ya NMB imesaini makubaliano na Kampuni ya Mastercard kufanya kazi kiushirikiano ili kuhakikisha inaiinua sekta ya kilimo nchini Tanzania kwa kuanzishwa kilimo…

Continue Reading....

Tanzania ya Viwanda Inaitaji Wanawake Wachapakazi – EfG

Posted on: March 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Siku ya Wanawake
Tanzania ya Viwanda Inaitaji Wanawake Wachapakazi – EfG

 Mjumbe wa Bodi ya EfG, akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Viwanja vya Soko la Temeke Sterio Dar es Salaam.  Balozi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari