Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 37

Category: Habari za Nyumbani

NMB Yafadhili Mkutano wa Maofisa Waandamizi Dodoma

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB Yafadhili Mkutano wa Maofisa Waandamizi Dodoma

    BENKI ya NMB imekabidhi udhamini wa shilingi Milioni 50 kwa jeshi la polisi kwaajili ya kufanikisha mkutano mkuu wa jeshi la polisi unaoendelea…

Continue Reading....

Waziri Mwigulu Awataka Askari Polisi Kutobambikia Kesi Raia

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Post Tags: Jeshi la Polisi
Waziri Mwigulu Awataka Askari Polisi Kutobambikia Kesi Raia

Mzee John Samwel Malecela akizungumza wakati wa kikao cha kazi cha Mwaka 2017 cha Maafisa waandamizi wa Polisi na Makamanda wa Mikoa/Vikosi.  Maafisa waandamizi wa…

Continue Reading....

PROF. MBARAWA: NEEMA YAJA WAFANYABIASHARA KANDA YA ZIWA

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Post Tags: Miundombinu
PROF. MBARAWA: NEEMA YAJA  WAFANYABIASHARA KANDA YA ZIWA

      IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ukarabati wa meli ya MV Umoja kutarudisha huduma ya usafirishaji wa mizigo katika kanda ya ziwa kupitia bandari…

Continue Reading....

Wafanyakazi Halotel Kufanya Usafi wa Mazingira Nchi Nzima

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Wafanyakazi Halotel Kufanya Usafi wa Mazingira Nchi Nzima

  KUELEKEA kuwepo kwa kampeni mbalimbali zinazolenga kuboresha usafi wa mazingira na miundombinu kumeendelea kuwaamsha wadau na taasisi mbalimbali kuendelea kuunga mkono jitihada hizo, ambapo…

Continue Reading....

Makaburi 22 ya Watu Wenye Ualbino Tanzania Yafukuliwa

Posted on: March 26, 2017 - jomushi
Makaburi 22 ya Watu Wenye Ualbino Tanzania Yafukuliwa

TANGU kuibuka kwa mauaji ya watu wenye ualbino mwaka 2007 takribani makaburi 22 nchini  Tanzania yamefukuliwa na watu wasiojulikana. Chama hicho kimeiomba serikali ya awamu ya tano…

Continue Reading....

Mbunge Ridhiwani, Madiwani Chalinze Waibana CHALIWASA

Posted on: March 26, 2017 - jomushi
Mbunge Ridhiwani, Madiwani Chalinze Waibana CHALIWASA

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete pamoja na madiwani wa Halmashauri ya Chalinze, wameujia juu uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari