Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 35

Category: Habari za Nyumbani

SERIKALI YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA ANGA

Posted on: April 5, 2017 - jomushi
SERIKALI YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA ANGA

    SERIKALI ya Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano (BASA), katika usafiri wa anga utakaowezesha nchi hizo kutoa huduma bora za…

Continue Reading....

Shindano la Hoja juu ya Rais Bora Laja…!

Posted on: April 3, 2017 - jomushi
Shindano la Hoja juu ya Rais Bora Laja…!

Ndugu Wanahabari na Watanzania wenzangu; NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa fursa hii. Pia niwashukuru ninyi nyote mlioweza kufika hapa. Vilevile nawashukuru wote walioanza kuunga mkono…

Continue Reading....

Pigo CHADEMA Mwenyekiti Wilaya Muheza Atimkia CCM

Posted on: April 2, 2017 - jomushi
Pigo CHADEMA Mwenyekiti Wilaya Muheza Atimkia CCM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Tanga kimepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Muheza, Rwebangira Mathias Karuwasha kuamua kutangaza…

Continue Reading....

Shirika la Meli la Ethiopia kutumia Bandari ya Dar es Salaam

Posted on: April 2, 2017 - jomushi
Shirika la Meli la Ethiopia  kutumia Bandari ya Dar es Salaam

Na MwandishiWetu Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ethiopia, Hailemariam Desalegn amesema Shirika la Meli la Ethiopia (Ethiopian Shipping Line) lipotayari kuanza…

Continue Reading....

Eneo la Lebanon Soko la Samaki Ferry Kinara kwa Ukatili wa Kijinsia

Posted on: April 2, 2017 - jomushi
Eneo la Lebanon Soko la Samaki  Ferry Kinara kwa Ukatili wa Kijinsia

 Mwenyekiti wa Soko la Kimataifa la Samaki la Ferry, Ali Bunda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam juzi wakati akitoa taarifa…

Continue Reading....

Mbunge Viti Maalum Afariki Dunia…!

Posted on: March 31, 2017 - jomushi
Mbunge Viti Maalum Afariki Dunia…!

  MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema), Dk. Elly Macha amefariki dunia akiwa Uingereza alipokuwa akitibiwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bunge la Jamhuri ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari