Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 341

Category: Habari za Nyumbani

Serikali Yaahidi Kumaliza Madeni ya Mahindi ya Wakulima

Posted on: March 2, 2015 - jomushi
Serikali Yaahidi Kumaliza Madeni ya Mahindi ya Wakulima

  SERIKALI imesema itajitahidi kuhakikisha inalipa deni lote la mahindi yaliyonunuliwa kutoka kwa wakulima na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ifikapo Machi…

Continue Reading....

Mimba, Utoro Kyela Vyamtisha- Pinda

Posted on: February 27, 2015 - jomushi
Mimba, Utoro Kyela Vyamtisha- Pinda

* 94 wapewa ujauzito, 645 watoroka shule wilayani humo * Aaagiza waliohusika wasakwe, wafikishwe mahakamani WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaagiza Mkuu wa Wilaya ya Kyela…

Continue Reading....

Serikali Kufufua Bandari 14 Ziwa Nyasa

Posted on: February 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Matema Kyela

*Apewa jina la Chifu wa Wanyakyusa, aitwa Mwakabulufu WAZIRI MKUU Mizengo amesema Serikali imeamua kufufua bandari ndogo 14 kwenye mikoa mitatu inayozunguka Ziwa Nyasa ili…

Continue Reading....

Mradi wa Kijiji cha Dijiti cha Ololosokwan

Posted on: February 27, 2015 - jomushi
Mradi wa Kijiji cha Dijiti cha Ololosokwan

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiwasilisha mada ya mchanganuo…

Continue Reading....

Mkurugenzi wa TAMWA Atunukiwa Tuzo CEFM CHAMPION

Posted on: February 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Tuzo TAMWA
Mkurugenzi wa TAMWA Atunukiwa Tuzo CEFM CHAMPION

a href=”http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_01311-1024×681-1.jpg”> Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mh. Alexandre Lévêque akimkabidhi tuzo ya kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania-TAMWA,Bi. Valerie Msoka kwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ateta na Watanzania Waishio Zambia

Posted on: February 27, 2015 - jomushi
Rais Kikwete Ateta na Watanzania Waishio Zambia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa jana, Jumatano, Februari 25, 2015, amekutana na kuzungumza na mamia ya Watanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari