ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Mkuranga, Adam Kigoma Malima amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kumshambulia askari polisi. Malima anashtakiwa pamoja na dereva…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
TAMWA yajivunia kuwawezesha wanahabari 2470 kimafunzo
KILA ifikapo Mei 3 ya kila mwaka wanahabari na wadau wa vyombo vya habari ulimwenguni huadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani.…
Continue Reading....Wananchi Kijiji cha Uhambila Wajadili Utunzaji Maliasili na Vyanzo vya Maji
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kinachoendelea kwenye mkutano wa kijiji wa kujadili maswala ya utunzaji wa vyanzo vya maji pamoja Maliasili za kijiji hicho. Na…
Continue Reading....Siku ya kitaifa ya uelewa juu ya Albino kufanyika Dodoma Juni 13
Chama Cha Watu Wenye Ualbino Tanzania kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi za Watu Wenye Ulemavu, mashirika mengine yasiyo ya kiserikali na wadau…
Continue Reading....Rais Magufuli Aifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma, CDA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 15 Mei, 2017 ameivunja rasmi Mamlaka ya…
Continue Reading....Naibu Katibu CCM Zanzibar Awataka Viongozi Kufanya Kazi za Kijamii
Na Is-Haka Omar, Zanzibar WANANCHI visiwani vya Zanzibar wameshauriwa kuendeleza kwa vitendo Utamaduni wa uzalendo wa kusaidiana wakati wa maafa mbali mbali yanayotokea…
Continue Reading....