WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali ya Tanzania imepania kuboresha upatikanaji wa haki kwa raia kwa kusogeza huduma za mahakama karibu na wananchi. “Tumeusaidia mhimili…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mtoto wa Dk Kigoda Sasa Rasmi Mgombea Ubunge Handeni
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Omary Abdallah Kigoda ambaye ni mtoto wa marehemu Dk. Abdallah Kigoda kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini. Omary…
Continue Reading....Nimapumziko ya Kiapo cha Rais…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.…
Continue Reading....JK Aanza Kutafuta Suluhu Zanzibar, Azungumza na Maalim Seif
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 4, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama cha Civic United…
Continue Reading....Dk. Magufuli Ampokea TB Joshua
Rais mteule Dk John Pombe Magufuli alimpokea mhuburi TB Joshua uwanja wa ndege wa JK Nyerere leo jioni. Mhubiri ameambatana na watu 40 katika msafara…
Continue Reading....CCM Yaanza Mchakato Kumsaka Mrithi wa Dk Kigoda Handeni
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza mchakato wa kumtafuta mwanaCCM ambaye atasimama kwa tiketi ya chama kugombea Jimbo la Handeni ambalo lilikuwa likigombewa na marehemu Dk.…
Continue Reading....