Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 235

Category: Habari za Nyumbani

Idadi ya Vifo vya Wachanga Vyaendelea Kupungua

Posted on: November 16, 2015 - jomushi
Post Tags: Afya na Uzazi
Idadi ya Vifo vya Wachanga Vyaendelea Kupungua

Na Emanuel Madafa, Mbeya IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua mkoani Mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka…

Continue Reading....

UNESCO Yatoa Suluhisho la Kukabiliana na Ukeketaji Jamii za Wafugaji

Posted on: November 16, 2015November 16, 2015 - jomushi
Post Tags: Ukeketaji, Ukeketaji Tanzania
UNESCO Yatoa Suluhisho la Kukabiliana na Ukeketaji Jamii za Wafugaji

Afisa Maendeleo ya Jamii (W) Ngorongoro, Teresia Irafay (wa pili kushoto) akiitambulisha meza kuu kabla ya kumkaribisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kileo,…

Continue Reading....

Rais Dk. Magufuli Aanza Kuteuwa Wabunge, Amteuwa Mmoja…!

Posted on: November 16, 2015November 16, 2015 - jomushi
Post Tags: Rais Dk. Magufulia
Rais Dk. Magufuli Aanza Kuteuwa Wabunge, Amteuwa Mmoja…!

IKIWA joto la siasa nchini likiendelea kupanda huku wengi wakisubiri kujua sura ya baraza la mawaziri la Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa…

Continue Reading....

Mtendaji Mkuu TPB Awahimiza Watanzania Kujiwekea Akiba

Posted on: November 14, 2015 - jomushi
Post Tags: TPB
Mtendaji Mkuu TPB Awahimiza Watanzania Kujiwekea Akiba

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta ya Akiba, Kenya, Bi.Anne Karanja, (Katikati), na Mkurugenzi Mtendaji…

Continue Reading....

Spika Anne Makinda; Sigombei Tena, Awataka Atakao ‘Wa-Miss’

Posted on: November 14, 2015 - jomushi
Spika Anne Makinda; Sigombei Tena, Awataka Atakao ‘Wa-Miss’

Na Jacquiline Mrisho-MAELEZO, Dar es Salaam SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda ametangaza rasmi kutogombea nafasi ya Uspika wa Bunge…

Continue Reading....

Jovago Tanzania Wazinduwa Wavuti ya Kiswahili

Posted on: November 12, 2015November 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Jovago.com

WADAU wakubwa wa sekta ya utalii nchini Tanzania Kampuni ya Jovago Tanzania sasa imeingiza lugha ya Kiswahili katika matumizi yake ya huduma ili kuwarahisishia raia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari