Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 21

Category: Habari za Nyumbani

TCU Yataka Wanaokwenda Kusoma Vyuo vya Nje Kuzingatia Vigezo

Posted on: May 28, 2017 - jomushi
TCU Yataka Wanaokwenda Kusoma Vyuo vya Nje Kuzingatia Vigezo

  TUME ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) imesema kuwa wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya nje wanatakiwa kuangaliwa vigezo ambavyo vinahitajika. Hayo yamesemwa na Afisa Udahili…

Continue Reading....

DARAJA LA MAGARA KUANZA KUJENGWA MWEZI JULAI

Posted on: May 28, 2017 - jomushi
DARAJA LA MAGARA KUANZA KUJENGWA MWEZI JULAI

    SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi atakayejenga Daraja la Magara lenye urefu wa Mita 84 katika barabara ya Mbuyu…

Continue Reading....

Manispaa ya Ilala Yatoa Cheti cha Shukrani kwa Mwananchi Kichangani

Posted on: May 28, 2017 - jomushi
Manispaa ya Ilala Yatoa Cheti cha Shukrani kwa Mwananchi Kichangani

  Na Leonce Zimbandu MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela ametoa cheti cha shukurani kwa Mkazi wa Mtaa wa Kichangani kata ya Majohe, Gabriel Macheho (pichani) baada…

Continue Reading....

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Waelimsha Wadau

Posted on: May 24, 2017 - jomushi
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Waelimsha Wadau

        MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umeendesha semina ya siku moja kwa waajiri nchini katika mikoa minne, ili kutoa elimu juu…

Continue Reading....

Ripoti ya Mchanga Yamng’oa Waziri Muhongo…!

Posted on: May 24, 2017May 24, 2017 - jomushi
Post Tags: Nishati na Madini
Ripoti ya Mchanga Yamng’oa Waziri Muhongo…!

            RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini…

Continue Reading....

CHATO WATAKIWA KUCHANGAMKIA KILIMO CHA MIHOGO CHENYE TIJA SOKO LA KIMATAIFA

Posted on: May 24, 2017 - jomushi
CHATO WATAKIWA KUCHANGAMKIA KILIMO CHA MIHOGO CHENYE TIJA SOKO LA KIMATAIFA

  Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita (RAS), Selestine Gesimba akizungumza na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Jukwaa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari