Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 201

Category: Habari za Nyumbani

Serikali Yasema Kila Mtanzania Atapata Bima ya Afya

Posted on: February 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Bima ya Afya
Serikali Yasema Kila Mtanzania Atapata Bima ya Afya

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO SERIKALI imejipanga kutoa huduma bora za afya kwa wananchi kwa kuwawezesha kila mwananchi kupata Bima ya Afya itakayosaidia kupata huduma bora…

Continue Reading....

Dk Kikwete Akutana na Dk Nkosazana Zuma…!

Posted on: February 1, 2016 - jomushi
Dk Kikwete Akutana na Dk Nkosazana Zuma…!

RAIS Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa na Mheshimiwa  Dk. Nkosazana Dlamini Zuma, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (kulia) kuwa Mwakilishi wa Umoja wa…

Continue Reading....

Wakimbizi 126,000 wa Burundi Wakimbilia Tanzania, UN Yasaidia…!

Posted on: February 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Wakimbizi
Wakimbizi 126,000 wa Burundi Wakimbilia Tanzania, UN Yasaidia…!

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ametoa dola za Marekani milioni 100 (US$ 100m, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 220) kutoka katika…

Continue Reading....

Naibu Waziri Atoa Kauli Kali Juu ya Utatuaji wa Matatizo Mpaka wa Holili

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Naibu Waziri Atoa Kauli Kali Juu ya Utatuaji wa Matatizo Mpaka wa Holili

Na; Ferdinand Shayo, Arusha. Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Susan Kolimba amezitaka mamlaka zinazofanya kazi katika mpaka kati ya…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ashiriki Ibada ya Kumuingiza Madarakani Askofu Shoo

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ashiriki Ibada ya Kumuingiza Madarakani Askofu Shoo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na Askofu Mkuu wa KKKT…

Continue Reading....

Wanafunzi Wa Sekondari Arusha Wapewa Elimu ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Wanafunzi Wa Sekondari Arusha Wapewa Elimu ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa

Mkurugenzi wa Utafiti Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) Dr.Ladislaus Chang`a akizungumza na mamia ya wanafunzi wa shule ya sekondari Arusha juu ya jinsi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari