(Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO) Shillingi Billioni 60 zinategemea kutumika kufufua kiwanda ya matairi cha General Tyres kilichopo Jijini Arusha ambacho kimesharudi mikononi mwa Serikali, na fedha…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Rais Magufuli Azindua Rasmi Siku ya Kisheria Jijini Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria…
Continue Reading....Mwenyekiti wa Chama Cha CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Mkoani Singida
Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida jana jioni, kwa ajili ya maadhimisho ya…
Continue Reading....Waajiriwa Waomba Serikali Kudhibiti Rushwa Maofisini
Na Woinde Shizza,Arusha Chama cha Waajiri nchini kimelalamikia vitendo vya rushwa kuwa vikwazo katika biashara hivyo wameiomba serikali kukemea vitendo vya rushwa pamoja na urasimu…
Continue Reading....Madiwani Halmashauri ya Arusha DC Wilaya ya Arumeru Wapitisha Taarifa Halmashauri Hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha DC wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha,Fidelis Lumato akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani,kulia ni Mwenyekiti wa…
Continue Reading....Rais Magufuli Aanzisha Mkoa Mpya wa Songwe…!
Na Raymond Mushumbusi-Maelezo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli ameidhinisha kuanzishwa kwa Mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya…
Continue Reading....