Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 197

Category: Habari za Nyumbani

Barabara za Mzunguko Kuanza Kujengwa Dar Juni

Posted on: February 9, 2016February 9, 2016 - jomushi
Post Tags: barabara
Barabara za Mzunguko Kuanza Kujengwa Dar Juni

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa barabara za mzunguko (ring roads) zenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katikati…

Continue Reading....

Asilimia 10 tu ya Watanzania Wanamiliki Uchumi-Waziri Mkuu

Posted on: February 9, 2016 - jomushi
Asilimia 10 tu ya Watanzania Wanamiliki Uchumi-Waziri Mkuu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imebuni na kuanza kutekeleza Sera ya Uwekezaji ili kufikia lengo la kuwawezesha wananchi kiuchumi. “Taarifa zilizopo zinaonyesha ni asilimia…

Continue Reading....

Waziri Nchemba Akasirishwa na Ukiukwaji wa Sheria za Mifugo

Posted on: February 9, 2016February 9, 2016 - Yohana Chance
Waziri Nchemba Akasirishwa na Ukiukwaji wa Sheria za Mifugo

chanzo millardiayo.com Mbuzi 75 wakatwa mapanga na wengine kuuawa Mkoani Morogoro, Huku waziri wa mifugo, kilimo na uvuvi Mwigulu Nchemba akikasiliwa na Kitendo hicho cha…

Continue Reading....

Mke Wa Waziri Mkuu Anusurika Kufa Kwenye Ajali

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Mke Wa Waziri Mkuu Anusurika Kufa Kwenye Ajali

Mke wa waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda amenusurika kifo baada ya gari alilokua akisafiria kugongana na pikipiki mkoani Morogoro jana jioni. Mama…

Continue Reading....

Elimu Bure? Elimu Bora? Kipi Bora?

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Elimu Bure?  Elimu Bora? Kipi Bora?

Na Ferdinand Shayo. Nachukua Nafasi hii Kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano John Pombe Magufuli kwa kwa waraka wake wa elimu bure ambayo itagharamiwa kwa…

Continue Reading....

Serikali Yahimizwa Kuboresha Mzingira ya Kazi Kwa Walimu

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Serikali Yahimizwa Kuboresha Mzingira ya Kazi Kwa Walimu

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Serikali imetakiwa kuboresha mazingira bora ya walimu ili kukuza na kuboresha kiwango cha elimu nchini kwani walimu ni kiungo muhimu katika elimu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari