Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 195

Category: Habari za Nyumbani

Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

Posted on: February 11, 2016 - jomushi
Magufuli Atuma Salamu za  Rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mama Mwantumu Mahiza, kufuatia vifo vya watu 11 waliopoteza…

Continue Reading....

Naibu Waziri wa Fedha Ashatu Kijaju Afungua Mkutano wa wanachama na Wadau wa PPF

Posted on: February 11, 2016 - jomushi
Naibu Waziri wa Fedha Ashatu Kijaju Afungua Mkutano wa wanachama na Wadau wa PPF

Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliobeba kauli mbiu ya “Uendeshaji…

Continue Reading....

Waziri Ummy Aongoza Mkutano Wadau wa Sekta ya Afya Karimjee

Posted on: February 11, 2016 - jomushi
Waziri Ummy Aongoza Mkutano Wadau wa Sekta ya Afya Karimjee

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika mkutano wa mwaka wa mapitio ya sekta ya afya unaofanyika…

Continue Reading....

UN Yaipongeza Tanzania Kukabili Ukatili Dhidi ya Wanawake

Posted on: February 11, 2016 - jomushi
UN Yaipongeza Tanzania Kukabili Ukatili Dhidi ya Wanawake

UMOJA wa Mataifa umepongeza mashirika mbalimbali na serikali ya Tanzania kwa kuchukua hatua kukabiliana na vitendo vya kikatili vya ukeketaji. Aidha imepongeza wito kutoka katika…

Continue Reading....

Madiwani Nachingwea Walia na Wakala wa Huduma za Misitu

Posted on: February 11, 2016 - jomushi
Madiwani Nachingwea Walia na Wakala wa Huduma za Misitu

Na. Ahmad Mmow,Nachingwea. Baadhi ya madiwani na wafanyabiashara wa mazao ya misitu Wilayani Nachingwea mkoani Lindi, wamelalamikia urasimu wa utoaji wa vibali vya kusafirishia mazao…

Continue Reading....

Serikali Kujenga Maabara za Mkemia Mkuu kila Kanda

Posted on: February 11, 2016 - jomushi
Serikali Kujenga Maabara za Mkemia Mkuu kila Kanda

  Na Modewjiblog team Uongozi wa Rais Magufuli unaonekana kujikita zaidi katika kutatua matatizo yanayowakabili wananchi na kuhakikisha inaboresha huduma wanazopatiwa wananchi kwa kuwasogezea huduma…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari