Serikali imesema iko mbioni kukamilisha mkataba maalumu wa ajira utakaotumiwa na makandarasi wote nchini katika kuajiri watanzania wazalendo kwenye miradi ya ujenzi inayosimamiwa na sekta…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Msajili wa Hazina Akagua Ujenzi wa Mradi wa ECO RESIDENCE
Bw. Lawrence Mafuru Msajili wa Hazina akishuka kwenye gari wakati alipowasili kwenye mradi wa Eco Residence ulioko Kinondoni Hananasifu unaojengwa na shirika la Nyumba la…
Continue Reading....Bodi ya Mikopo Yatoa Utaratibu wa Kuwasilisha Malalamiko
Na jacquiline Mrisho –Maelezo Dar es salaam Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya wanafunzi wanaopata…
Continue Reading....Waziri Mkuu Majaliwa Ateta na Mabalozi Ofisini Kwake
WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu kutoka nchi za Uturuki, Ireland na Uswisi pamoja na Mratibu Mkazi wa Umoja wa…
Continue Reading....Gundua Kusudi la Maisha yako Ili Ufanikiwe
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Watu wengi duniani wanasumbuliwa na tatizo la kutokujua kwanini wapo duniani na wanatakiwa wafanye nini? Wamejikuta wanafanya kazi ili walipe bili na…
Continue Reading....Waziri Mkuu Akabidhi Msaada Uliochangwa Kusaidia Waliokumbwa na Mafuriko Iringa
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali yenye thamani ya sh. milioni 85.88/- kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko kwenye vijiji vya kata ya…
Continue Reading....