Na Ferdinand Shayo Watu wengi hutumia muda wao baada ya kazi kukaa na marafiki,makundi rika na wengine hufanya mambo ambayo huwazuia kuzifikia ndoto zao. Wengine…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Hivi ndivyo Jeshi la Polisi Arusha Lilivyokabiliana na Majambazi
Na; Kiongozigod Watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi katika eneo la Engosheraton mkoani Arusha. Kamanda wa jeshi la polisi…
Continue Reading....Utafiti Waweka Bayana Changamoto za Wanawake Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu UTAFITI mdogo uliofanywa katika baadhi ya vyombo vya habari ulibainisha kuwa ni asilimia 11 tu ya wanawake wagombea ndio walipata nafasi ya…
Continue Reading....Waziri Mkuu Majaliwa Apokea Misaada wa Zahanati, Kompyuta
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepokea msaada wa kujenga zahanati na nyumba ya mganga kwenye kijiji cha Nandagala, wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Msaada huo wenye…
Continue Reading....Eng. Edwin Ngonyani Azipa Changamoto Taasisi za Serikali
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufanya kazi kwa uadilifu, bidii na kwa uharaka…
Continue Reading....TPB Yatoa Mikopo kwa Vikundi vya SACCOS Kigoma
KATIKA jitihada za kuwafikia Watanzania wengi zaidi na kuwawezesha kiuchumi,Benki ya Posta Tanzania (TPB) imekabidhi mikopo kwa vikundi viwili vya SACCOS ambavyo ni TWCC Women…
Continue Reading....