Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na akifafanua jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kukutana na…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
EWURA Yatangaza Kushuka kwa Bei ya Mafuta
a Dotto Mwaibale MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta nchini kuanzia kesho Machi 2, 2016. Akizungumza…
Continue Reading....Serikali Yalitaka Dira ya Mtanzania Kukanusha Tuhuma Dhidi ya Balozi Sefue
Na Anitha Jonas – MAELEZO Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw.Assah Mwambene ameutaka uongozi wa Gazeti la Dira ya Mtanzania kukanusha…
Continue Reading....Wataalamu TPRI Wapelekwa Kilombero Kufanya Uchunguzi
Na Jacquiline Mrisho Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro imewapeleka wataalamu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Viuwatilifu ya Kitropiki (TPRI) wilayani Kilombero kufanya uchunguzi…
Continue Reading....Mahakama ya Tanzania Yakutana na Wadau Jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa –MAELEZO. Dar es salaam. Mahakama ya Tanzania imesema kuwa inaendelea na mkakati wa kufanya maboresho ya miundombinu yake ili kurahisisha utoaji wa…
Continue Reading....Dk. Kigwangalla Aagiza Kufungwa Chumba cha Upasuaji Hospitali ya Sanitas Mikocheni
Naibu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza kufungwa mara moja Chumba cha upasuaji cha hospitali ya…
Continue Reading....