NAIBU WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Bw. Luhaga Mpina amesema mkoa wa Simiyu ni miongoni mwa mikoa nane hapa nchini…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Waziri Mkuu Aagiza Watumishi wote Wahamie Busega
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi na watendaji wote wa Serikali wahamie yalipo makao makuu ya wilaya ya Busega kuanzia sasa ili kuleta kasi ya…
Continue Reading....Mazishi ya Afisa Uhusiano wa TTCL Amanda Luhanga Yafanyika Mlangali-ludewa,
Mazishi ya aliyekuwa Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Marehemu Amanda Luhanga Njavike( 36) yamefanyika katika Kijiji cha Mlangali, Ludewa Mkoani Njombe. Mazishi…
Continue Reading....Rais Magufuli Akutana na Kujadili Masuala Kadhaa na Rais Paul Kagame wa Rwanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Rwanda Paul Kagame…
Continue Reading....Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), Yaanza Kuelimisha Wanahabari Kuhusu El- Nino
Na; George Binagi –GB Pizzo Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Marcella Mayalla, akifungua Warsha ya Siku mbili kwa Wanahabari Kuhusu El-Nino na athari…
Continue Reading....Naibu Waziri Dkt Abdallah Possi Afanya Ziara Jijini Arusha
Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na watoto wenye ulemavu wa ngozi (albinism) katika ziara yake shule ya Arusha ikiwa ni…
Continue Reading....