Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 181

Category: Habari za Nyumbani

Serikali Kuendelea Kupokea Kero za Wananchi na Kufanyia Kazi

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Kero za Wananchi
Serikali Kuendelea Kupokea Kero za Wananchi na Kufanyia Kazi

Na Frank Mvungi-Maelezo SERIKALI imedhamiria kuendelea kupokea na kushughulikia malalamiko ya wananchi yanayowasilishwa ili kuwezesha upatikanaji wa haki kwa wakati. Kauli hiyo imetolewa leo Jijini…

Continue Reading....

Watakiwa Kutoa Maoni Kuboresha Sera Mpya Maendeleo ya Jamii

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Sera Maendeleo ya Jamii
Watakiwa Kutoa Maoni Kuboresha Sera Mpya Maendeleo ya Jamii

Beatrice Lyimo – MAELEZO WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa wito kwa wananchi na wadau mbalimbali kuendelea kutoa maoni na mapendekezo ili yatumike…

Continue Reading....

Jamii Media Yafungua Kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Kesi Sheria ya Mtandao
Jamii Media Yafungua Kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu

KAMPUNI ya Jamii Media, waendeshaji wa mitandao ya JamiiForums.com na FikraPevu.com wametinga Mahakamani kufungua kesi ya kikatiba wakipinga baadhi ya vifungu vya sheria ya makosa…

Continue Reading....

MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Morogoro
MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kuujulisha umma kuwa kivuko cha MV Kilombero II ambacho kilizama tarehe 27 Januari 2016, na kusababisha kusimama kwa…

Continue Reading....

Viongozi Wanawake Waliofanikiwa Kuwaunga Mkono Wanawake…!

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Siku ya Wanawake
Viongozi Wanawake Waliofanikiwa Kuwaunga Mkono Wanawake…!

SIKU ya Jumapili (Machi 6, 2016) zaidi ya wanawake mia moja wanatarajia kujumuika pamoja jijini Dar es Salaam katika matembezi yaliyoandaliwa na Taasisi ya Vital…

Continue Reading....

Makumbusho ya Taifa, Sweden Waandaa Onesho Juu ya Matumizi ya Ardhi Hadhari

Posted on: March 3, 2016 - jomushi
Post Tags: Makumbusho ya Taifa
Makumbusho ya Taifa, Sweden Waandaa Onesho Juu ya Matumizi ya Ardhi Hadhari

Na Sixmund Begashe MAKUMBUSHO ya Taifa Tanzania kwa ushirikano na Chuo Kikuu cha Lund Sweden wameandaa onesho la pamoja kuhusu mabadiliko ya matumizi ya ardhi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari