Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 179

Category: Habari za Nyumbani

Prof. Mbarawa Azitaka Taasisi Kukitumia Kituo cha Kuhifadhi Taarifa

Posted on: March 9, 2016 - jomushi
Post Tags: Data Centre
Prof. Mbarawa Azitaka Taasisi Kukitumia Kituo cha Kuhifadhi Taarifa

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amezitaka taasisi za Serikali na binafsi kukitumia kituo cha kisasa cha kuhifadhi taarifa (data centre) kutunza…

Continue Reading....

Tanzania na Japan Kuanzisha Ushirikiano Katika Matumizi ya TEHAMA

Posted on: March 8, 2016 - Yohana Chance
Tanzania na Japan Kuanzisha Ushirikiano Katika Matumizi ya TEHAMA

Na. Aron Msigwa – MAELEZO Tanzania na Japan zinatarajia kuanzisha ushirikiano katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa kuwaunganisha wafanyabishara na vijana…

Continue Reading....

Waziri Mbarawa Awataja TBA Kuzingatia Thamani ya Fedha

Posted on: March 8, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mbarawa Awataja TBA Kuzingatia Thamani ya Fedha

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuzingatia thamani ya fedha kwa kila mradi wa ujenzi wa…

Continue Reading....

Rais Dkt. Magufuli Amuapisha Balozi Eng, Kijazi Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Posted on: March 8, 2016 - Yohana Chance
Rais Dkt. Magufuli Amuapisha Balozi Eng, Kijazi Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar…

Continue Reading....

UNDP Wafanya Kongamano la Vijana

Posted on: March 8, 2016 - jomushi
UNDP Wafanya Kongamano la Vijana

  Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam limefanya kongamano la vijana na maendeleo kujadili…

Continue Reading....

Mamlaka ya Vitambulisho Yatimu Wafanyakazi 597

Posted on: March 7, 2016 - jomushi
Post Tags: NIDA
Mamlaka ya Vitambulisho Yatimu Wafanyakazi 597

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imesitisha mikataba ya wafanyakazi wa muda 597. Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Modestus…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari