Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania BOT kabla ya kuzungumza na…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway,Tone Skogen Atembelea Chuo cha Ufundi Arusha
Ujumbe uliongozana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway,Tone Skogen kutoka Norway na maafisa kutoka ubalozi wao nchini wakisalimiana na wafanyakazi wa Chuo…
Continue Reading....Umoja wa Mataifa Wanawake Wazindua Kundi la ‘HEFORSHE’, Kuweka Usawa wa Kijinsia
Umoja wa Mataifa Wanawake (UN Women) nchini umefanya uzinduzi wa kundi la mshikamano la Kimataifa linalohusisha wanaume na wavulana lililo na malengo ya kuhakikisha…
Continue Reading....Rais Vietnam Aenda CCM Kuonana na JK
Na Beatrice Lyimo – Dar es salaam MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho…
Continue Reading....Ajali ya Daladala na Lori la Ng’ombe Yaua 4 na Kujeruhi Dar
AJALI iliyohusisha magari matatu imetokea katika barabara ya Mandela eneo la Ally Hamza, Tabata jijini Dar es Salaam, ambapo imesababisha vifo vya watu wanne na…
Continue Reading....Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Azindua Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2016.
Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika la kimataifa la OXFAM limezinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mh Halima Dendegu na…
Continue Reading....