Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) , Arch. Elius Mwakalinga (kushoto), akikabidhiana hati ya mkataba na Mwakilishi wa Kampuni ya Udalali ya…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Waziri Mbarawa Awataka TISPA Kuongeza Watoa Huduma za Mtandao
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekitaka Chama cha Watoa Huduma za Mtandao nchini (TISPA), kuhakikisha watanzania wananufaika na fursa za uwepo…
Continue Reading....Prof. Mbarawa: Acheni Kufanya Kazi kwa Mazoea
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amewataka wafanyakazi wa wizara yake kuacha kufanya kazi kwa mazoea kwa kuwa Serikali ya Awamu ya…
Continue Reading....TAMISEMI Yakanusha Uvumi wa Ajira Mpya za Walimu
Kumekuwa na taarifa za upotoshaji zinasombazwa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kutolewa kwa ajira mpya ya walimu kwa shule za sekondari na msingi kwa…
Continue Reading....Dk. Possi Azindua Kitabu cha Jinsi ya Kuondokana na Umasikini
Na Raymond Mushumbusi ,MAELEZO Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu,Bunge,Kazi,Ajira na Walemavu Dkt Abdallah Possi amezindua kitabu kinachoelezea namna ya Tanzania inavyoweza…
Continue Reading....Waziri Mkuu Awahakikishia Fursa za Uwekezaji wa Vietnam
Na Anitha Jonas – MAELEZO Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia wawekezaji kutoka Vietnam kuwepo kwa…
Continue Reading....