Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 175

Category: Habari za Nyumbani

RC Paul Makonda Alivyopokewa Ofisini Dar…!

Posted on: March 16, 2016 - jomushi
Post Tags: RC Makonda
RC Paul Makonda Alivyopokewa Ofisini Dar…!

Na Dotto Mwaibale MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ameanza kazi rasmi leo mchana ambapo alifanya mazungumzo na wakuu wa idara na Vitengo mbalimbali…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Acharuka Kagera, Ampa Siku Tano RAS…!

Posted on: March 15, 2016March 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Majaliwa Acharuka Kagera, Ampa Siku Tano RAS…!

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekagua hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera na kumpa siku tano Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bw. Adam Swai…

Continue Reading....

Wakuu wa Mikoa Wapya Waapishwa Ikulu Dar es Salaam..!

Posted on: March 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Wakuu wa Mikoa
Wakuu wa Mikoa Wapya Waapishwa Ikulu Dar es Salaam..!

Na Jacquiline Mrisho- Dar es salaam RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewapa siku 15 Wakuu wa Mikoa kuwaondoa watumishi…

Continue Reading....

Subash Patel  Atoa Mabati ya Milioni 200 Ujenzi wa Shule Dar

Posted on: March 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Ujenzi wa Shule Dar
Subash Patel  Atoa Mabati ya Milioni 200 Ujenzi wa Shule Dar

   Mkurugenzi Mtendaji wa M.M.I Steel, Subash Patel (kulia), akizungumza katika makabidhiano hayo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (katikati), akitoa shukurani kwa…

Continue Reading....

UNDP Yazinduwa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2015

Posted on: March 14, 2016 - jomushi
Post Tags: UNDP
UNDP Yazinduwa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2015

  NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu) Antony Mavunde ametaka kuondolewa kwa changamoto maeneo ya kazi ili kazi isaidie…

Continue Reading....

Dk Kigwangalla Aipandisha Hadhi Zahanati ya Msoga Kuwa ya Wilaya

Posted on: March 14, 2016 - jomushi
Post Tags: hospitali
Dk Kigwangalla Aipandisha Hadhi Zahanati ya Msoga Kuwa ya Wilaya

  SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeipa hadhi ya kuwa Hospitali Wilaya iliyokuwa Zahanati ya Msoga ambayo tayari imekamilisha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari