Na Dotto Mwaibale MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Janeth Masaburi amesema wanachama wa chama hicho waliokiuchumu wakati wa uchaguzi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afungua Duka la Bohari ya Dawa Chato
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefungua duka la Bohari ya Dawa (MSD), la Wilayani Chato duka litakalotoa huduma kwa wananchi wa wilaya hiyo. Akizungumza katika hafla…
Continue Reading....Uamuzi Kutoa Elimu bure Utachochea Usawa wa Kijinsia– Ummy Mwalimu
Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (Mb.)wakati akitoa taarifa ya nchi katika Mkutano wa 60…
Continue Reading....Serikali Yapongeza Operesheni Safisha ya TFDA
NAIBU WAZIRI WA AFYA, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amepongeza juhudi za Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) nchini kwa…
Continue Reading....Imefahamika Wanafunzi Hupata Mimba Kipindi Cha Likizo
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Arusha Blandina Nkini amesema kuwa watoto wengi hupata mimba kipindi cha likizo za mashuleni kutokana na…
Continue Reading....Makala Ataka Kipindupindu Kuwa Historia Mbeya
Na Emanuel Madafa, Mbeya. MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala, amewaagiza watendaji wote wenye dhamana ya kulinda afya na usalama wa wananchi kuhakikisha kuwa…
Continue Reading....