Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 168

Category: Habari za Nyumbani

Rais Dkt Magufuli Ashiriki Ibada ya Ijumaa Kuu

Posted on: March 25, 2016March 25, 2016 - Yohana Chance
Rais Dkt Magufuli Ashiriki Ibada ya Ijumaa Kuu

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro akiongoza Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam march 25, 2016 Rais…

Continue Reading....

Mkurugenzi Mkuu Mpya NSSF Alikagua Daraja la Kigamboni

Posted on: March 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Miradi ya NSSF
Mkurugenzi Mkuu Mpya NSSF Alikagua Daraja la Kigamboni

Wataalamu wa ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara alipofanya…

Continue Reading....

Waholanzi Wakamatwa KIA Wakisafirisha Tumbili

Posted on: March 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Wizi Wanyama
Waholanzi Wakamatwa KIA Wakisafirisha Tumbili

VYOMBO vya ulinzi na usalama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) vimefanikiwa kuwanasa wafanyabiashara wawili ndugu, raia wa Uholanzi wakiwa katika harakati…

Continue Reading....

Matukio Katika Picha Jinsi Rais Wa Zanzibar Alivyoapishwa

Posted on: March 24, 2016March 24, 2016 - Yohana Chance
Matukio Katika Picha Jinsi Rais Wa Zanzibar Alivyoapishwa

RAIS Mteule wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein ameapishwa leo kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. Kuapishwa kwa Dk Shein kunamfanya apate fursa nyingine ya…

Continue Reading....

Naibu Waziri Alivyotembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Naibu Waziri Alivyotembelea Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa wa Jeshi la Polisi, alipotembelea Uwanja wa Ndege wa…

Continue Reading....

Wazazi Wahimizwa Kuwakumbuka Ndugu zao Waliokuwa Mahabusu

Posted on: March 24, 2016March 24, 2016 - Yohana Chance
Wazazi Wahimizwa Kuwakumbuka Ndugu zao Waliokuwa Mahabusu

Na; Woinde Shizza,Arusha Kamati ya utekelezaji Jumuia ya wazazi wilaya ya Arusha inatarajia kutembelea mahabusu ya watoto Arusha katika kuazimisha sherehe ya wiki ya wazazi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari