Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 164

Category: Habari za Nyumbani

Kibaha Kulipa Fidia kwa Wanaostahili

Posted on: April 1, 2016 - jomushi
Kibaha Kulipa Fidia kwa Wanaostahili

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani imeahidi kuwalipa wananchi wanaostahili kulipwa fidia ya ardhi ambayo ilichukuliwa na Serikali kwa…

Continue Reading....

Waziri Simbachawene Afanya Kikao na Wadau wa DART

Posted on: April 1, 2016 - jomushi
Waziri Simbachawene Afanya Kikao na Wadau wa DART

Na EleuteriMangi-MAELEZO Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene amewaagiza wadau wa mradi wa mabasi yaendayo…

Continue Reading....

TCRA Waipa Leseni ya Biashara Kampuni ya Agano Safi

Posted on: March 31, 2016March 31, 2016 - jomushi
Post Tags: TCRA Tanzania
TCRA Waipa Leseni ya Biashara Kampuni ya Agano Safi

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Agano Safi, Iyaloo Ya Nangolo leseni ya biashara…

Continue Reading....

Wabunge watatu wafikishwa Mahakamani

Posted on: March 31, 2016 - Yohana Chance
Wabunge watatu wafikishwa Mahakamani

Tuhuma za Rushwa zawafikisha Wabunge watatu Mahakamani Kisutu Dar es salaam leo,wabunge hao ni Victor Mwambalaswa wa Lupa (CCM), Kangi Lugola wa Mwibara (CCM) na…

Continue Reading....

Dk. Shein Amuapisha Makamo wa Pili wa Rais.

Posted on: March 31, 2016 - Yohana Chance
Dk. Shein Amuapisha Makamo wa Pili wa Rais.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein jana amemuapisha Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais…

Continue Reading....

Serikali Yajipanga Kusaidia Wakulima Dhidi ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi

Posted on: March 31, 2016 - Yohana Chance
Serikali Yajipanga Kusaidia Wakulima Dhidi ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imejipanga kuhakikisha inawasaidia wakulima kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo yanaonekana kuendelea kuikabili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari