Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 159

Category: Habari za Nyumbani

Tigo Watoa Zawadi Maadhimisho ya Karume Zanzibar…!

Posted on: April 11, 2016 - jomushi
Tigo Watoa Zawadi Maadhimisho ya Karume Zanzibar…!

 Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam Khamis Mkadam,ambaye ni  Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni…

Continue Reading....

Uhaba wa Chakula Waitesa Wilaya ya Simanjiro

Posted on: April 11, 2016April 11, 2016 - Yohana Chance
Uhaba wa Chakula Waitesa Wilaya ya Simanjiro

Na; Ferdinand Shayo,Simanjiro. Kijiji cha Olbili kilichopo kitongoji cha Tilili,kata ya Shambarai wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara kinakabiliwa na tatizo la ukosefu chakula cha miongoni…

Continue Reading....

Rais Dk.Shein amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali

Posted on: April 11, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk.Shein amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara 13 za Serikali ya…

Continue Reading....

Rais wa Zanzibar Dkt.Shein ameunda Wizara 13 na kuwateua Mawaziri, Manaibu

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Zanzibar Dkt.Shein ameunda Wizara 13 na kuwateua Mawaziri, Manaibu

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu 42, 43, 44 na 47 vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…

Continue Reading....

Waziri Ummy Atembelea Hospitali za Mkoa wa Mbeya

Posted on: April 9, 2016 - jomushi
Waziri Ummy Atembelea Hospitali za Mkoa wa Mbeya

Na Catherine Sungura, Mbeya. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu amefanya ziara katika hospitali zilizopo Mbeya na kuzitaka hospitali…

Continue Reading....

Hospitali Yakabiliwa na Uhaba wa Vyumba vya Kuhudumia Wagonjwa

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Hospitali Yakabiliwa na Uhaba wa Vyumba vya Kuhudumia Wagonjwa

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Hospitali ya Ngarenaro inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya kuhudumia wagonjwa pamoja na kukosekana kwa miundombinu imara ya maji katika chumba cha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari