Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania, imeingia ubia na mgahawa ya Samaki Samaki ambao ilianzishwa tangu mwaka 2007 ukiwa na matawi matatu yaliyopo Mlimani City,…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Watu Watatu Wanaosadikiwa kuwa Majambazi Wauwawa Mkoani Mbeya
Na EmanuelMadafa. JESHI la Polisi mkoani Mbeya limewauwa watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakati wa kurushiana risasi. Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya…
Continue Reading....Waziri wa Afya Afunga Mkutano wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Geofrey Semu akizungumza katika mkutano wa THERIA leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huo…
Continue Reading....Programu ya Fursa kwa Watoto Yazinduliwa…!
Na Rabi Hume KWA kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto ambao ndiyo watakuja kuwa viongozi wa baadae nchini, programu mpya inayofahamika kama Fursa Kwa Watoto…
Continue Reading....Serikali Kupunguza Vizuizi Magari Yanayosafiri Nje ya Nchi
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Injinia Joseph Nyamhanga ametambulisha utaratibu mpya utakaotumika kupunguza vikwazo visivyo vya kiforodha ili kurahisisha…
Continue Reading....