Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 149

Category: Habari za Nyumbani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Aapishwa Kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri

Posted on: May 2, 2016May 2, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Aapishwa Kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kuwa mjumbe wa Baraza…

Continue Reading....

Matukio Shindano la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari 2015…!

Posted on: May 1, 2016May 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Tuzo Wanahabari
Matukio Shindano la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari 2015…!

                      Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kulia) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa…

Continue Reading....

Hospitali zatakiwa kuwalinda wapokea kumbukumbu na maambukizi

Posted on: May 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Wizara ya Afya
Hospitali zatakiwa kuwalinda wapokea kumbukumbu na maambukizi

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bi. Ummy Mwalimu ameziagiza hospitali mbalimbali nchini kuhakikisha zinachukua tahadhari za kuwalinda…

Continue Reading....

Katibu UVCCM Awananga Wapinzani

Posted on: May 1, 2016 - jomushi
Post Tags: UVCCM
Katibu UVCCM Awananga Wapinzani

Na Woinde Shizza, Same WABUNGE wa upinzani wametakiwa kuwatetea wananchi, kutatua kero zao pamoja na kuwawakilisha vyema wanapokuwa bungeni na sio kutoka nje ya Bunge…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Afungua Kikao Kazi Cha Makamanda wa Polisi, Wanasheria na Wakuu wa Upelelezi

Posted on: April 29, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Afungua Kikao Kazi Cha Makamanda wa Polisi, Wanasheria na Wakuu wa Upelelezi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akizungumza na Makamanda wa Polisi, Wanasheria wa Serikali, Wafawidhi wa Mikoa na Wakuu wa…

Continue Reading....

Wanakijiji Itobo, Itirima – Simiyu Waaswa Kufuata Uzazi wa Mpango

Posted on: April 28, 2016 - jomushi
Wanakijiji Itobo, Itirima – Simiyu Waaswa Kufuata Uzazi wa Mpango

Na Cathbert Kajuna – Itirima, Simiyu. Wananchi wa Kijiji cha Itobo, Itirima – Simiyu wameaswa kuachana na mila za kuzaa watoto wasio kuwa na idadi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari