Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemuapisha Dk. Asha-Rose Mtengeti Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Hafla ya kuapishwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
‘GREEN VOICES’ Sauti za Akinamama Wapambanao na Mabadiliko ya Tabia Nchi
WANAWAKE wapatao 15 hivi karibuni walihudhuria mafunzo ya kuongeza ujuzi wa jinsi ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini Spain. Mafunzo na mradi huo vinafadhiliwa…
Continue Reading....Mitandao ya Kijamii Yatishia Amani Magazeti ‘Print Media’
TAARIFA ya utafiti inaeleza kuwa vyombo vya habari vya asilia hususan magazeti vinakufa kadri teknolojia ya upatikanaji habari inavyo kuwa. Hivi sasa vyombo vingi vya…
Continue Reading....Dk Kigwangalla Kumsomesha Mtoto Aliyeiwakilisha Tanzania UN
TAASISI ya Misaada ya Kijamii ya Hamisi Kigwangalla inayomilikiwa na Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla imejitolea…
Continue Reading....Rais Dk. Magufuli Ashiriki Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli wakati alipowasili…
Continue Reading....