Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 145

Category: Habari za Nyumbani

Askari wa Bunge Achomwa Kisu na ‘Kichaa’

Posted on: May 12, 2016 - jomushi
Post Tags: Bunge la Tanzania
Askari wa Bunge Achomwa Kisu na ‘Kichaa’

MTU anayesadikiwa kuwa na upungufu wa akili amemchoma kisu mmoja wa askari wa Bunge la Tanzania. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari mtu huyo…

Continue Reading....

Wakadiriaji Majenzi Afrika Kukutana Tanzania Agosti 2016

Posted on: May 12, 2016 - jomushi
Post Tags: Makandarasi
Wakadiriaji Majenzi Afrika Kukutana Tanzania Agosti 2016

   Na Dotto Mwaibale CHAMA Cha Wakadiriaji Majengo Tanzania (TIQS) kwa kushirikiana na Chama cha wakadiriaji majenzi Afrika (AAQS), watakuwa wenyeji wa mkutano mkuu wa Wakadiriaji…

Continue Reading....

Mtoto wa Michuzi Kuzikwa Jumamosi Makaburi ya Kisutu

Posted on: May 12, 2016May 12, 2016 - Yohana Chance
Mtoto wa Michuzi Kuzikwa Jumamosi Makaburi ya Kisutu

FAMILIA ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin aliefariki Jumapili Mei 8, 2016 huko Durban, Afrika Kusini. Mwili…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Awasili Nchini Uganda Kushiriki Tukio la Kuapishwa Rais Mteule wa Nchi Hiyo Yoweri Museveni

Posted on: May 11, 2016May 11, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Awasili Nchini Uganda Kushiriki Tukio la Kuapishwa Rais Mteule wa Nchi Hiyo Yoweri Museveni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipunga mkono kwenye kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Entebe…

Continue Reading....

Tozo Daraja la Nyerere Kuanza Rasmi Jumamosi

Posted on: May 10, 2016 - jomushi
Tozo Daraja la Nyerere Kuanza Rasmi Jumamosi

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imetangaza rasmi tozo zitakazotumika katika Daraja la Nyererejijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini…

Continue Reading....

Naibu Waziri Kazi, Vijana na Ajira, Atembelea Kambi Tiba ya GSM Dodoma

Posted on: May 10, 2016 - jomushi
Naibu Waziri Kazi, Vijana na Ajira, Atembelea Kambi Tiba ya GSM Dodoma

Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde amefanya ziara ya kushtukiza katika kambi tiba ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari