Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 143

Category: Habari za Nyumbani

Tigo Yazindua Huduma ya Tigo Games

Posted on: May 20, 2016May 20, 2016 - jomushi
Tigo Yazindua Huduma  ya Tigo Games

Kampuni ya simu ya Tigo, imetangaza uzinduzi wa huduma mpya ya michezo kidijitali ijulikanayo kama Tigo Games. Tigo Games ni huduma katika wavuti ambayo imesheheni…

Continue Reading....

Mwanafunzi Mbaroni kwa Kumtukana Dk. Shein na Mkuu wa Majeshi

Posted on: May 20, 2016 - jomushi
Mwanafunzi Mbaroni kwa Kumtukana  Dk. Shein  na Mkuu wa Majeshi

Na Woinde Shizza,Arusha Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia mwanafunzi wa Mwaka wa tatu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru Harold Mmbando (23) mkazi…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Ateta na Mabalozi Pamoja na Makatibu Watendaji wa SADC

Posted on: May 19, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Ateta na Mabalozi Pamoja na Makatibu Watendaji wa SADC

Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke akimkabidhi Kitabu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza…

Continue Reading....

Kampuni za Uchimbaji Zatunisha Mapato Serikalini – TEITI

Posted on: May 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Nishati na Madini
Kampuni za Uchimbaji Zatunisha Mapato Serikalini – TEITI

Na Mwandishi Maalumu MAPATO ya Serikali ya Tanzania yanayotokana na shughuli za uchimbaji yameongezeka kwa asilimia 28 katika kipindi cha mwaka 2013/14, kwa mujibu wa…

Continue Reading....

RC Makonda, Mrisho Mpoto Waisaidia Shule Iliyoungua Dar…!

Posted on: May 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
RC Makonda, Mrisho Mpoto Waisaidia Shule Iliyoungua Dar…!

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na Msanii maarufu wa kughani mashairi katika nyimbo, Mrisho Mpoto wameahidi kuisaidia magodoro 110 Shule…

Continue Reading....

Wanafunzi Waeleza Moto Ulivyoibuka Shule ya Wasichana Dar

Posted on: May 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
Wanafunzi Waeleza Moto Ulivyoibuka Shule ya Wasichana Dar

WAATHIRIKA wa tukio la moto katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kiislamu ya Ilala iliyoteketea kwa moto jana wameeleza mazingira ya moto ulivyotokea katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari