WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, amewataka Watendaji wakuu, Mameneja na Wazalishaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), kutumia maarifa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Boti Yapotea na Abiria Ziwa Nyasa…!
WATU kadhaa wanahofiwa kufa maji baada ya boti iliyokuwa ikifanya safari kutoka Mbamba Bay nchini Tanzania kwenda Nkhata Bay Malawi kuzama Ziwa Nyasa na boti…
Continue Reading....Yadi ya Mabasi ya UDA Yanusurika Kuteketea kwa Moto
YADI ya mabasi ya UDA iliyopo eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam imenusurika kuteketea kwa moto baada nguzo inayosafirisha umeme mkubwa barabarani…
Continue Reading....DC Kihato: Ni Aibu Mwanamke Kutoka Alfajiri Kutafuta Kuni, Mume Amelala!
DC Kihato alisema hayo alipokuwa akizindua mradi wa Majiko Banifu wa kikundi cha ‘Moto Moto’ unaotekelezwa na wanawake wa Kijiji cha Magoza Wilaya ya Mkuranga…
Continue Reading....Rais Dk. Shein Ateuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya
RAIS Wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa wakuu Wa Mikoa na Wilaya. Katika taarifa yake kwa…
Continue Reading....