Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 140

Category: Habari za Nyumbani

Viongozi wa Kimasai Waaswa Kutumiwa Vibaya na Wanasiasa

Posted on: May 28, 2016 - Yohana Chance
Viongozi wa Kimasai Waaswa Kutumiwa Vibaya na Wanasiasa

Na; Woinde Shizza, Arusha Viongozi wa kimila jamii ya kimasai maarufu kwa jina la Laigwanani wametakiwa kuacha kujiingiza katika maswala ya kisiasa kwa kutumiwa na…

Continue Reading....

Chumba cha Dereva Tax Chazua Kizaa Zaa

Posted on: May 28, 2016 - jomushi
Chumba cha Dereva Tax Chazua Kizaa Zaa

UKIHADITHIWA na kuonyeshwa chumba cha Dereva Tax anayeonekana kitaani na katika kazi zake akiwa amepiga pamba wala hutaamini masikio yako wala macho yako pindi utakapopata…

Continue Reading....

TEA Kuendelea Kujenga Mabweni ya Wasichana

Posted on: May 28, 2016 - jomushi
TEA Kuendelea Kujenga Mabweni ya Wasichana

KUELEKEA maadhimisho ya hedhi salama itakayofanyika Mei 28 , Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imesema itaendelea kujenga mabweni na chemba za kuhifadhi na kuchomea taulo…

Continue Reading....

Mrema wa TLP ‘Amchokonoa’ Katibu Maalim Seif CUF

Posted on: May 26, 2016 - jomushi
Post Tags: Vyama vya Upinzani
Mrema wa TLP ‘Amchokonoa’ Katibu Maalim Seif CUF

MWENYEKITI wa Taifa wa TLP, Augustino Lyatonga Mrema ameibuka na kumtuhumu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Shariff Hamad anatumia njia zisizo…

Continue Reading....

ESRF Yafanya Semina Kujadili Mpango wa Maendeleo Endelevu…!

Posted on: May 26, 2016May 26, 2016 - jomushi
ESRF Yafanya Semina Kujadili Mpango wa Maendeleo Endelevu…!

Na Rabi Hume KATIKA kusaidia kukamilika kwa Mpango wa Maendeleo Endelevu ambao unataraji kumalizika 2030, Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Kijamii (ESRF) imefanya warsha ambayo…

Continue Reading....

TTCL Yazaliwa Upya, Yazinduwa Nembo Mpya na 4G LTE

Posted on: May 26, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
TTCL Yazaliwa Upya, Yazinduwa Nembo Mpya na 4G LTE

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imefanya mabadiliko ya nembo yake pamoja na kuzinduwa huduma ya mtandao wa kisasa wa 4G LTE ikiwa ni muendelezo wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari