Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 137

Category: Habari za Nyumbani

Rais Dk Magufuli Asaini Kitabu cha Maombolezo Katika Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi

Posted on: June 6, 2016June 6, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Asaini Kitabu cha Maombolezo Katika Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi…

Continue Reading....

Nauli za Usafiri wa Ndege Sasa Kushuka

Posted on: June 6, 2016 - jomushi
Post Tags: Usafiri wa Anga
Nauli za Usafiri wa Ndege Sasa Kushuka

  IMEELEZWA kuwa gharama kubwa za usafiri wa anga nchini zitapungua pale Serikali itakapoliwezesha Shirika la ndege Tanzania (ATCL), kuwa na ndege zake. Akizungumza mara…

Continue Reading....

Waziri Prof Mbarawa Azipiga Biti Kampuni za Simu…!

Posted on: June 5, 2016June 5, 2016 - jomushi
Waziri Prof Mbarawa Azipiga Biti Kampuni za Simu…!

WAZIRI wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ametoa mwezi mmoja kwa kampuni za simu nchini zilizoingia makubaliano na Serikali kupeleka huduma ya mawasiliano…

Continue Reading....

RC Arusha Ahimiza Wananchi Murieti Kujenga Sekondari

Posted on: June 5, 2016 - jomushi
Post Tags: RC
RC Arusha Ahimiza Wananchi Murieti Kujenga Sekondari

  Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda (kushoto) akimkabidhi mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Terrat Mlimani, Kata ya Murirt, jiji la Arusha Mbuzi…

Continue Reading....

Serikali Yakanusha Rais Magufuli Kuongoza kwa Msukumo..!

Posted on: June 4, 2016 - jomushi
Post Tags: serikali
Serikali Yakanusha Rais Magufuli Kuongoza kwa Msukumo..!

 Kaimu  Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa (Wa kwanza kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa ufafanuzi juu…

Continue Reading....

Wakulima na Wafugaji Watinga Bungeni Dodoma..!

Posted on: June 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Abakwa na Ndugu
Wakulima na Wafugaji Watinga Bungeni Dodoma..!

  Mkurugenzi Mtendaji wa  Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Steven Ruvuga (kulia) akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Maji,  kuhusu matatizo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari