SERIKALI imeahidi kuendelea kuijengea uwezo Taasisi ya Taaluma za Wanyamapori iliyopo Pasiansi jijini Mwanza, ili kukabiliana na matukio ya ujangili ambayo yametikisa nchi miaka ya karibuni. Akizungumza na wanahabari…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mradi wa Maji Pangani Kunufaisha Wakazi 4009 Boza Kimang’a
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella katikati akipata maelezo ya mradi wa maji Boza-Kimang’a kutoka kwa Mhandisi wa Maji Wilaya ya Pangani, Mohamed Seif wakati alipofanya…
Continue Reading....UNDP Yawezesha Maandalizi Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu
MAANDALIZI ya Ripoti ya pili ya Maendeleo ya Binadamu (THDR) inayotarajiwa kuzinduliwa Juni 2017 yamefikia katika ngazi ya mwisho ya ukusanyaji wa maoni ya…
Continue Reading....Rais Magufuli Awaapisha Mawaziri Wapya Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba(Mb) kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Ikulu jijini…
Continue Reading....Wanawake Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi Kujiombea…!
Na Dotto Mwaibale, Dar WANAWAKE wa Kanisa la Moravian Usharika wa Mtoni Kijichi wanarajia kufanya maombi makubwa kwa ajili ya wanawake nchini, familia zao…
Continue Reading....DC Afanya Doria na Polisi Usiku wa Manane Dar…!
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi jana usiku majira ya saa 7 na 8 alifanya doria ya kushtukiza maeneo ya mitaa ya…
Continue Reading....