Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 133

Category: Habari za Nyumbani

UVCCM Arusha wamchachamalia Jenerali Ulimwengu

Posted on: June 17, 2016 - Yohana Chance
UVCCM Arusha wamchachamalia Jenerali Ulimwengu

Na; Woinde Shizza, Arusha Umoja wa vijana wa chama Cha Mapinduzi umesema madai yalitolewa na mwanataaluma Jenerali Twaha Ulimwengu kutaka Mwenyekiti wa CCM na Rais…

Continue Reading....

CCM Yamjibu Mch Gwajima, Yamwita Mzushi Mchonganishi…!

Posted on: June 17, 2016 - jomushi
Post Tags: CCM
CCM Yamjibu Mch Gwajima, Yamwita Mzushi Mchonganishi…!

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetoa kauli kwa umma kufuatia maneno aliyoyatoa Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima akikiponda chama hicho na viongozi…

Continue Reading....

Jukwaa la Katiba Lataka Mchakato wa Katiba Mpya Ufufuke…!

Posted on: June 17, 2016 - jomushi
Post Tags: Katiba Mpya
Jukwaa la Katiba Lataka Mchakato wa Katiba Mpya Ufufuke…!

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limeitaka Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais Dk John Pombe Magufuli kufufua mchakato wa Katiba Mpya ambao limedai…

Continue Reading....

Profesa Mbarawa Azungumza na Bodi ya Bandari Kiteknolojia

Posted on: June 16, 2016June 16, 2016 - jomushi
Post Tags: Mamlaka ya Bandari
Profesa Mbarawa Azungumza na Bodi ya Bandari Kiteknolojia

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi mpya ya Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuanza kazi mara moja kwa…

Continue Reading....

Tigo Yachangia Dola za Kimarekani 12,000 Kituo cha Watoto

Posted on: June 16, 2016 - jomushi
Tigo Yachangia Dola za Kimarekani 12,000 Kituo cha Watoto

KAPUNI ya Tigo Tanzania imeshiriki katika kumbukumbu ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2016 kwa kuchangia  zaidi ya shilingi 26.4m/-($12,000) kwa asasi isiyo ya kiserikali ya  C-Sema  ambayo…

Continue Reading....

Benjamin Mkapa Atoa Somo kwa Kila Mtanzania

Posted on: June 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Watanzania
Benjamin Mkapa Atoa Somo kwa Kila Mtanzania

Na Ally Daud- Maelezo RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa amewataka watanzania kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari