Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 129

Category: Habari za Nyumbani

Nape Azindua Studio ya Redio ya Jamii Chuo Kikuu Huria Tanzania

Posted on: June 27, 2016 - jomushi
Nape Azindua Studio ya Redio ya Jamii Chuo Kikuu Huria Tanzania

Na Shamimu Nyaki-WHUSM. Waziri wa Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye amezindua studio ya redio ya jamii ya ‘Community Media Network of Tanzania’ (COMNET)…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Ahitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an

Posted on: June 27, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mkuu Majaliwa Ahitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam jana Juni…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya 139

Posted on: June 26, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya 139

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza majina ya Wakuu wapya wa Wilaya zote nchini 139 pamoja na mabadiliko ya wakuu wa Mikoa watatu uliofanywa…

Continue Reading....

Naibu Spika Dk Tulia Aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri Kuwaunga Mkono Wanahabari

Posted on: June 26, 2016 - jomushi
Post Tags: Waandishi wa Habari
Naibu Spika Dk Tulia Aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri Kuwaunga Mkono Wanahabari

          Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya…

Continue Reading....

Profesa Mbarawa Amteuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA

Posted on: June 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Mamlaka ya Bandari
Profesa Mbarawa Amteuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa, leo tarehe 25 Juni, 2016 amemteua Mhandisi Deusdedit Conatus Vitalis Kakoko kuwa Mkurugenzi Mkuu wa…

Continue Reading....

Tanzania Yaitaji Wataalam Waliobobea wa Biashara ya Kimataifa

Posted on: June 25, 2016 - jomushi
Tanzania Yaitaji Wataalam Waliobobea wa Biashara ya Kimataifa

   Mmoja wa washiriki wa Mkutano huo akichangia wakati wa Mkutano huo. Wadau mbalimbali wakifuatilia kwa makini majadiliano kuhusu program mpya mbili za masomo katika ngazi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari