Na Mwandishi Wetu, Mwanza ASKARI polisi wawili wanaodaiwa kupigana baada ya kushindwa kugawana dawa za kulevya aina ya mirungi iliyotelekezwa na abiria…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Dk Shein: Tumuenzi Karume kwa vitendo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka vijana kumkumbuka Marehemu Abeid Amani Karume kwa vitendo. Dk.…
Continue Reading....TUNDU LISSU MATATANI
SPIKA Anne Makinda, amempa siku mbili Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni jana kwamba Waziri wa Nishati…
Continue Reading....Babu Loliondo afanya maajabu
Na Mwandishi Wetu, Loliondo MIUJIZA ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa Kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro juzi Ilijidhihirisha kijijini hapa baada ya mmoja wa wezi…
Continue Reading....Usiyoyafahamu kuhusu Mchungaji Mwasapila
HIVI unafahamu kwamba Mchungaji Ambilikile Mwasapila ambaye umaarufu wake umepanda kwa kasi kutokana na kutoa tiba ya magonjwa sugu, ni yatima ambaye hakuwahi kuwafahamu…
Continue Reading....Majaji 12 wapata kikombe kwa Babu
MAJAJI 12 ambao ni wakuu wa Kanda za Mahakama Kuu ya Tanzania, jana waliingia katika orodha ya vigogo kufika Samunge, Loliondo kupata tiba ya magonjwa…
Continue Reading....